Siku moja baada ya Chris Brown kurudiana na mpenzi wake Karrueche Tran,Rihanna nae kaonekana akiingia Club moja Griffin Night club huko New York akiwa ameongozana na Drake kitu kilichozua maswali wamerudiana tena?
Cheki picha chini hapo;
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni