Imekuwa ni kawaida sasa kwa wapenzi mastaa Chris Brown na Karrueche Tran kuachana na kurudiana kiasi hata ukisikia habari zao za aina hiyo hushtuki tena..hatimaye mrembo huyo amefunguka kuwa uhusiano wake na Chris sio kazi yako kuuelewa...
Kupitia Instagram Karrueche ame-share picha ya kimahaba (Icheki chini hapo) akiwa na Chris Brown na kufunguka hivi;
"Lovers.. Friends.. We love, we laugh, we fight.. It's complicated and I can't explain it but it's not for you to understand but us .. My MCM ❤️"You heard...lol!


0 Maoni:
Toa Maoni