Chris Brown na Karrueche mapenzi moto tena!


Nadhani hii couple inaongoza kwa kuachana na kurudiana sasa! Pamoja na kufikia hatua ya kupondana jukwaani na kwenye mitandao ya kijamii, Chris Brown na Karrueche wako pamoja tena na safari hii wameonekana wakiwa wamemechisha mavazi walipohudhuria show ya mavazi ya Michael Costello's huko New York fashion.


0 Maoni:

Toa Maoni