Selena Gomes nae ajianika kifua wazi kwenye jarida


Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Justin Bibier, mwanamuziki Selena Gomez naye amepata nafasi ya kupamba jarida la V Magazine akiwa kifua wazi huku wamiliki na waandaaji wa jarida hilo wakipokea makavu kutoka kwa watu mbalimbali kwa kumpaka make up iliyomfanya aonekana kama mtoto!

Kufanya make-up iliyomuonyesha kama mtoto wa miaka 12 si tatizo. tatizo ni kupozi kifua wazi mbele ya jarida huku muonekano wako ni wa kitoto kitu ambacho si sawa...jionee picha apa chini pamoja na maoni ya watu.




0 Maoni:

Toa Maoni