Hongera sana Karen.
Aliyekuwa mshindi wa BBA alamba bingo
Mshindi wa Big Brother Africa Karen Igho amelamba deal la kuwa balozi mpya wa DSTV ambayo itadumu kwa muda wa miezi 12.Kupitia account yake ya twitter pia,Karen ameandika furaha yake kwa uteuzi huo.
Hongera sana Karen.
Hongera sana Karen.

0 Maoni:
Toa Maoni