Mwigizaji mkongwe na mtangazaji wa Times fm Suzan Lewis ama Natasha kama anavyojulikana jumamosi tarehe 6 aliagwa rasmi pale Mnazi mmoja katika sherehe rasmi iliyoandaliwa na kuitwa Natasha's night, jionee yaliojiri kwa ufupi.
![]() |
| Hapa Natasha akiingia |
![]() |
| Akiwa na mpambe wake |
![]() |
| Mama huyo |
![]() | |
| Mapambo |
![]() |
| Kutoka Times tuliwakilisha pia Ummy, Ndimbo, Sandra na Maryam |
![]() |
| Mie mwenyewe |
Haya kila la kheri Natasha mama katika maisha yajayo..maisha ya ndoa.






0 Maoni:
Toa Maoni