Dmitry Vinogradov mwanaume mwenye umri wa miaka 30amewatuhumu jamaa hao sita kuwa walimshawishi mpenzi wake Anna Kaznikova amuache kabla ya kuwaua.
Akijieleza mbele ya polisi Dmitry anasema alifanya kitendo hicho ili kudhihirisha kwa mpenzi wake kuwa yeye ni mwanaume kamili na anaweza kufanya lolote ukiachia mbali udhaifu wake wa kushindwa kuwajibika vyema kitandani!
Wakati wa mapumziko ya weekend tulienda Suzdal.,hapo mimi na Anna tulifanya mapenzi kwa mara ya kwanza lakini haikuwa na mafanikio kwa sababu ya aibu zangu na kushindwa kumtimizia kimapenzi kitu kilichowahi kunitokea kabla..baada ya hapo Anna alini bwaga na kukata mawasiliano na mimi" alisema Dmitry
Hiyo ndio sababu iliyofanya Dmitry kufanya ukatili wa kuua watu wasio na hatia ili kuonyesha uanaume wake..mmmh mapenzi haya!

0 Maoni:
Toa Maoni