Anaitwa Caroline Sam au Maheeda binti mrembo kutoka nchini Nigeria aliyeamua kuachana na shughuli ya kuuza mwili na kuokoka na si kuokoka tu akaamua kuimba na injili kabisa..alitokea kwenye vyombo vya habari vingi nchini Nigeria baada ya kuchukua uamuzi huo wengi wakimpongeza.
Mambo yalianza kubadilika baada ya binti huyo kuendelea kupost picha chafu na kushangaza watu wengi wakijiuliza huyu ''mwokovu kakumbwa na pepo gani tena!' (Cheki picha zake alizopost hapo chini)
Baada ya kupita muda sasa amerudi na kali zaidi akidai wakati anatangaza kaokoka watu walikuwa kimya hakuna aliyemfatilia ila akituma picha tata hata mchungaji anamtolea mimacho!
Cheki tweet yake.
Ushauri kwa mabinti: Kama umeamua kuacha maovu na kuokoa fanya kwa roho moja sio unatania imani za watu,kuokoka sio mchezo unatakiwa kujitolea na kuachana na ufirauni wote.




0 Maoni:
Toa Maoni