PICHA: Fuse ODG alipokanyaga ardhi ya Bongo

Mkali wa Azonto kutoka Ghana Fuse ODG ameshatua Tanzania kwa ajili ya show iliyoandaliwa na Times fm 'Azonto live in Dar' hapo kesho yaani September 7 itakayofanyika viwanja wa Ustawi wa jamii,Kijitonyama kuanzia saa 2 usiku.

 Cheki picha zinazomuonyesha Fuse akiwa amepokelewa airport.
Fuse(aliyevaa kofia) akiwa na Lil Ommy kutoka Times fm
Mbali na Fuse ODG kutoa burudani kutakuwa na wasanii kutoka bongo watakaokamua pia.. Snura, Madee,H.baba , Banana, Tundaman, Vanessa Mdee, Gosby, M-Rap,Deddy,Mabeste,Wakazi,Mwinyi na Allycom kutoka Machozi band na wengine kibao.

Unaweza kujipatia Tiketi yako katika vituo vifuatavyo kwa shilingi Elfu 10 na VIP ni sh.elfu 50.

JAY HUSTLER – MWENGE

ZIZOU FASHION- AFRICA SANA

NYUMBANI LOUNGE

TCC CLUB CHANG’OMBE

DAR LIVE-MBAGALA

SAMAKI SAMAKI (Mlimani City & City Centre )

MAISHA CLUB

COCO BEACH (REAL STAR & HAZINA LOUNGE)

TIMESFM – KAWE BEACH

TSN SUPERMARKETS(UPANGA Muhimbili Junction,MIKOCHENI Baraka Tower, TEGETA Kibo Complex & BAMAGA)

HUSSEIN PAMBA KALI KINONDONI

ZANTEL HEAD QUARTERS & ZANTEL ILALA NA KISUTU

1 comment: