PICHA: Mastaa kipindi kilee! Throwback Thursday

Watu tunatoka mbali! Cheki picha inayowaonesha mastaa enzi hizo.
Fid Q, D Knob na mheshiwa Joseph Mbilinyi 'Sugu' enzi hizo.
D Banj,Don jazzy na JJC kitambo
 Mpoki na Joti
Sugu na Jide
AY
Nonini na Juakali
 
Ray C
Mheshimiwa Sugu
Mimi pia nimoo..enzi zangu picha ya juu enzi hizoo za mgambo na kirungu ya chini sasa..kweli tumetoka mbali!

0 Maoni:

Toa Maoni