Habari kutoka kwa Hitmaker huyo wa Drop it like its hot Snoop Dog sasa amejibadili tena jina na kujiita Snoopzilla...Kwa hiyo si Snoop Dog Dog wala SnoopLion sasa ni Snoopzilla!
Lakini sio Snoop tu ndio aliyebadili jina hata P.didy zamani alikuwa anajiita Puff Dady baadae ndio akabadili a.k.a..
Hapa nyumbani Tanzania Q Chller naye ni jina alilobadili maana hao awali alikuwa anajiitwa Qchief.



0 Maoni:
Toa Maoni