Davido amzawadia dogo dola 3000 kwa kucheza Skelewu

Mkali wa Skelewu kutoka nchini Nigeria Davido ametoa zawadi ya dola 3000 kwa kijana mdogo anayeitwa Kiddy Mizzy baada ya kushinda mashindano ya kucheza Skelewu 'Skelewu dance competition'.
Ni kitu kizuri kwa msanii mkubwa kukumbuka kuinua vipaji vya vijana wadogo wanaochipukia kwenye fani.

0 Maoni:

Toa Maoni