Kupitia ukurasa wake mpya katika mtandao wa kijamii wa Instagram Khadija amepost picha na kufunguka kuhusu kurejea kwake.
malkia_wa_mipasho_africa
alhamdullilah namaliza eda tarehe 13 mwezu huu.na show yangu ya kwanza ni tarehe 19 kwahiyo tukutane dar live nawapenda wote.

0 Maoni:
Toa Maoni