PICHA: Victoria Kimani aanika muonekano mpya...Hot or not?

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya,dada wa msanii Bamboo na first Lady wa lebo ya muziki ya Chocolate city ya nchini Nigeria Victoria Kimani amejiachia mtandaoni akiwa na kivazi cha mitego huku akiwaacha watu midomo wazi kwa michoro mikononi mwake na watu kudhani ni tattoo!


Cheki picha hizo alizo-share kupitia mtandao wa Instagram lakini usijiulize kuhusu michoro sio tattoo ila ni mambo ya pico..

0 Maoni:

Toa Maoni