![]() |
| Mmh haya we! |
Mapacha wanne waoana kwa mpigo!
Vijana wawili mapacha Akinade Okueze na Chibuzor Adelakin Okueze kutoka Asaba Delta state nchini Nigeria wametoa kali baada ya kufunga ndoa kwa pamoja siku moja na mabinti waliooa ni mapacha pia Folawemi na Febisola Okuniyi!
Ndoa hiyo iliyoshangaza watu ilifungwa November 30 katika kanisa moja hukohuko nchini Nigeria. Cheki picha zaidi za harusi hiyo ilivyokuwa.




0 Maoni:
Toa Maoni