Baada ya kusikia ya Rihanna na Drake, Chris Brown nae atoa la moyoni!


Wiki iliyopita iliripotiwa kuwa hatimaye mwanadada mrembo Karrueche amebwaga manyanga penzi la Chris Brown baada ya kugundua kuna malove-dove ya chinichini yanaendelea kati ya Chris na Rihanna..baada ya kubainika na kuwekwa wazi kuwa Rihanna na Drake sasa wako kwenye uhusiano wa kimapenzi  Chris nae afunguka ya moyoni!



Kupitia twitter usiku uliopita Chris alifunguka kuwa Karrueche ataendelea kuwepo moyoni mwake daima lakini baada ya muda mfupi akafuta post hiyo...sijui ndio kumrusha roho Rihanna lol! Inaelekea news ya Rihanna na Drake imemchoma kidogo moyoni...Cheki alichopost.

0 Maoni:

Toa Maoni