Misao Okawa, ambaye aliwekwa kwenye kitabu cha rekodi kubwa
za dunia ‘Guinness’ kama mwaka jana kama mwanamke mwenye umri mkubwa
zaidi duniani, jana (March 5) amefanya sherehe ya siku ya kuzaliwa baada
ya kufikisha umri wa mika 116.
Misao ambaye anaishi chini ya uangalizi na matunzo huko Osaka, Japan alitangazwa rasmi kuwa mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi duniani baada ya aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo kufariki.
Ingawa umri wake ni mkubwa sana, anaonekana bado ana afya nzuri na aliweza kuipuliza mishumaa yake kama mtu mwingine.

0 Maoni:
Toa Maoni