Mama yake anakiri kuwa uzembe wake ndio uliosababisha mtoto wake awe na uzito mkubwa kuliko kawaida kwani kila mtoto huyo anapolia amekuwa akimshindilia misosi na maziwa ili anyamaze kitu kilichopelekea uzito kuongezeka kwa kasi!
Kwa sasa mtoto huyo amepewa msaada wa kupelekwa sehemu wanayoweza kuokoa maisha yake kwani amekuwa akilazwa kila mara kutokana na uzito wake kuwa mkubwa kitu kinachoweza kuleta madhara makubwa kiafya... kilo 20 miezi 8 si kawaida aisee!
Cheki picha mtoto huyo.



0 Maoni:
Toa Maoni