Baada ya mwaka jana kufunga ndoa ya kimila na meneja wake Tee Billz, first lady wa Mavin record na staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage jumamosi iliyopita alikamilisha ndoa yake rasmi akiwa na gauni jeupe 'White wedding' iliyofanyika ndani ya Dubai.
Ni bonge la harusi funga mwaka iliyohudhuriwa na mastaa kibao kutoka Nigeria wakiwemo na mziki na filamu.







0 Maoni:
Toa Maoni