Baada ya kuwa nominated kwenye tuzo za MTV MAMA zilizofanyika nchini Afrika Kusini japo hakubahatika kupata ushindi pia amependekezwa kuwania tuzo kubwa za BET zitazofanyika nchini Marekani hivi karibuni na sasa account ya Diamond Platnumz ya facebook imetambulika rasmi baada ya kuwa verified.
Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa Diamond Platnumz na sasa anazidi kutambulika vyema duniani kutokana na kazi yake ya muziki,hongera kwake.


0 Maoni:
Toa Maoni