Leo ndio ile fainali ya utoaji wa Tuzo za Watu ambazo na mimi nimekuwa nominated kwenye vipengele viwili cha kwanza ni Mtangazaji wa redio anayependwa na watu na cha pili ni Kipindi cha redio kinachopendwa na watu ambapo Kipindi nachofanya cha Hatua Tatu kimeingia hapo.
Tuzo hizo zitafanyika Serena Hotel kuanzia saa 3 usiku na kwa ambao hawatabahatika kushuhudia zitaonyweshwa live kupitia Bongo5 .com kwa hiyo tukutane pale kama vipi
![]() |
| Na Cliford Mario Ndimbo,mume lakini pia ni prodyuza wa kipindi nachofanya cha Hatua Tatu |
![]() |
| Team Times fm. Kulia anaitwa One B, Dj R guy (katikati) na Lil Ommy |
![]() |
| Team Hatua Tatu; Kulia ni Dj R guy,Cliford Ndimbo na Edson Mkisi jr |







Matokeo yalikuwaje? Hebu tujuze.
ReplyDelete