Davido adaiwa kufanyia 'mashauzi' utajiri wake kwenye mitandao..afunguka!


Mkali anayeng'aa kwenye anga ya muziki anayewakilisha nchi ya Nigeria Davido a.k.a OBO amefungukia madai kuwa anajionyesha na kuanika utajiri wake kwenye mitandao ya kijamii.


Alipoulizwa na Encomium magazine kuhusu hilo hivi ndivyo Davido alivyojibu;
"Siiti ni kujionyesha au kuanika utajiri.. kama ni gari ni zangu,hela ni zangu na hata page ni yangu pia hulazimiki kuni-follow Instagram, huhitajiki kuni-follow kwenye mitandao ya kijamii ili ionekane hivyo .Ingekuwa tofauti kama ni ningekuwa natangaza hayo yote kwenye Billboard, sifanyi hivyo"
Hizi ni baaadhi ya picha za Davido alizowahi ku-share kwenye mitandao ya kijamii akionyesha na kufurahia mafanikio aliyonayo..kuna ubaya kwani? lol!

0 Maoni:

Toa Maoni