Tuzo za watu zilifanyika Serena Ijumaa July 27 ambapo nilikudokeza nimependekezwa kuwania, wengine wameniuliza vipi majibu japo nilishatoa taarifa kuwa sikubahatika kupata Tuzo. Nilitupia Instagram unaweza nicheki Instagram @maryamkitosi napatikana.
Nawashukuru sana My Wedding solution Tanzania kwa kunivisha hawa wanapatikana Sinza Mugabe yaani duka lao lipo barabarani tu pale. Unaweza kuwacheki Instagram pia @myweddingsolutions.
Picha hizi hapa sasa..
 |
| Gauni linapatikana My wedding Solutions watembelee kwa mavazi ya jioni,suti,viatu bila kusahau magauni ya harusi na bei ni reasonable |
 |
Na mume Cliford Mario Ndimbo,ofcourse alikuwepo kutoa sapoti kwa wife
|
|
 |
| Kushoto ni mkurugenzi wa Times fm Mr. Rehure Nyaulawa,mume wangu na Omary Tambe |
 |
| Na hawa ndio washindi wa siku hiyo kwenye Tuzo za watu, kutoka kushoto ni King Majuto, Lulu, Millard Ayo, Nisher, Salim Kikeke, Salama Jabir, Muba wa Mkasi na Babu Tale aliyesimama kwa niaba ya Diamond |
0 Maoni:
Toa Maoni