Hatua Tatu ndio sehemu ya kukaa muda huu...


Habari zenu wadau na wasomaji wa MamuAfrica blog? Alhamdulillah jumatatu nyingine tena hii nimeamka na kuanza wiki salama..

Tuungane saa 3 asubuhi mpaka saa 6 mchana ndani ya kipindi cha Hatua Tatu kupitia 100.5 Times, kumbuka kinakuwa hewani kila siku za jumatatu mpaka ijumaa muda huo.

Mie mwenyewe kwa studio hapo nikisababisha Hatua Tatu

0 Maoni:

Toa Maoni