Pesa hizi mmh! Bondia Floyd Maywether ametoa kali na mpya nyingine baada ya ku-share video Instagram ikionyesha amezungukwa na warembo 10 waliovaa nguo za ndani tu wakimnengulia huku yeye kalala akiwa ndani ya boxer tu!
Floyd ameshawahi kuonyesha video akiwa bafuni anaogeshwa na mrembo lakini pia alishawahi kuonyesha video akiwa anahesabu mzigo wa ma-dolar ...kweli pesa sabuni ya roho! Shuka chini kucheki video hiyo---->>>

YAANI MARYAM NILIVYOSHUKA CHINI HARAKA KUWAONA HAO WAREMBO WE ACHA TU.
ReplyDeleteLKN SIKUONA KITU.