Siku ya jumamosi tarehe 13 ndani ya ukumbi wa Dar Live Mbagala, lilifanyika Tamasha la Mitikisiko ya Pwani linalofanywa kila mwaka na radio Times fm.
Shuka chini hapa kujionea picha , matukio, tulivyojiachia na mambo yalivyonoga siku hiyo ya Tamasha..
![]() |
| Mbali na u-blogger na utangazaji,upiga picha pia nauweza lol! |
![]() | |
| Nikiwa na Timu yangu ya Hatua Tatu..katikati ni Mkisi Juniar na pembeni ni DJ Rguy |
![]() |
| Na Dida |












0 Maoni:
Toa Maoni