Ukitaka kujua jinsi utandawazi ulivyotuaribu watu kwa sasa hebu chukua muda wako kucheki hizi selfie kupitia MamuAfrica blog ambazo pengine waliopiga hawakujua kama zitakuwa na tatizo au pengine walipiga kwa makusudi kabisa lakini watizamaji tumetoka na tafsiri tofauti...
Shuka nazo hapa;
![]() |
| Huyu haijajulikana lengo hasa lilikuwa nini hasa ila selfie yake ni kituko |
![]() |
| Huyu nae... |
![]() |
| Huyu alitaka selfie yake iwe kituko lakini badala yake inatia kinyaa kwa alivyotia mdomoni |
![]() |
| Majanga |
![]() |
| Huyu wakati anaji selfisha mwenzake nyuma yuko kwenye haja.. haha! |
![]() |
| Huyu wakati anachukua Selfie akiwa na furaha hakujali nyumba kuna malaika(mtoto) alikuwa akilia na ikionekano anakula kisago! |
![]() |
| Pengine haikuwa lengo ionekane mpaka chini ila ni ajabu maana jamaa anajisaidia huku nguoyake ya ndani ikiwa miguuni lol! |
![]() |
| Jamaa anajipa selfie huku bibi yuko kwenye jeneza nyuma!!! |
![]() |
| Huyu kaamua kutuonyesha 'wezele' huku mtoto akiwa anajionea majanga pembeni |
![]() |
| Huku mgonjwa nyuma yake akiwa taabani bidada alikuwa anachukua selfie |
![]() |
| Selfie bafuni na misosi lol! |












0 Maoni:
Toa Maoni