Baada ya mwanamitindo Amber Rose kuachia picha za utata na 'ku-break internet', picha zilizovuta hisia za wanaume wengi akiwemo aliyekuwa mume na baba wa mtoto wake Wiz Khalifa... Picha hizo inaonekana zimemvutia pia mume wa muigiaji maarufu Gabrielle Union, Dwyane Wade ambaye amenaswa akiwa kam-follow Amber kwenye mtandao wa Instagram jana ikiwa ni siku chache tangu aachie picha hizo huku watu wakitoa onyo kuwa kama vipi Gabrielle achunge mume wake lol! ...
![]() |
| Mapaparazi noma! |
![]() |
| Hizi ni baadhi tu ya picha alizoachia Amber na kuzua gumzo |





0 Maoni:
Toa Maoni