Waandamana matiti wazi Brazil kushinikiza kuruhusiwa kujiachia watupu beach!


Kikundi cha wanawake saba waliokuwa vifua wazi yaani matiti nje wameandamana huko kwenye beach ya Ipanema, Rio de Janeiro nchini Brazil kulazimisha wapate haki ya kutembea vifua wazi kwenye beach za huko nchini kwao kitu kilicho kinyume na sheria za nchini Brazil.

Kwa sheria zilizopo ukikutwa na kesi hilo unaweza kuhukumiwa kwenda jela miezi mitatu au mwaka Wanawake hao waliokuwa 7 walijianika matiti wazi kwa dakika kadhaa na kugeuka kivutio kwa waliokuwepo eneo hilo la beach pamoja na waandishi wa habari waliofika eneo la tukio.

0 Maoni:

Toa Maoni