Mr. Flavour: Najiamini nna mvuto ndio maana kujianika kwenye miandao sio ishu kwangu


Imekuwa ni kawaida kwa staa huyu wa muziki kutoka Nigeria kuanika body lake kwenye mitandao ya kijamii, namzungua Mr. Flavour au The Ashawo master himself...jamaa huyu amefungukia swala hili alipofanyiwa mahojiano, soma alichosema hapa ;

“Kama sifanyi muziki napenda kufanya mazoezi,na nnapofanya hivyo nakuwa najiamini sana kiasi sioni tabu kuonyesha umbo langu kwenye mitandao ya kijamii. Kama utaniita 'Sex symbol' hutakuwa unadanganya. Najisikia vizuri kuona watu wanajiamini ndio maana napenda kujiweka fiti muda wote''

0 Maoni:

Toa Maoni