Baada ya kutimuliwa na GrandPa family Mr. Nice aibuka tena

Baada Mr. Nice kutibuana na GrandPa family  nchini Kenya..hatimaye  amepata deal nyingine ya kufanya kazi zake za muziki chini ya label mpya hukohuko nchini Kenya .

Akizungumza C.E.O wa Candy records Joe Kairuki,amesema wameshakubaliana na Mr Nice na wako katika stage za mwisho kusign makubaliano.Akifagilia uongozi huo mpya Nice anasema ni wawazi tofauti na GrandPa family.

Candy records ina miezi michache lakini tayari imeshasign wasanii kadhaa akiwemo pia Top C kutoka Tanzania aliyewahi kutamba na ngoma yake Sababu ya ulofa.

Siku za nyuma Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style alipoteza deal lake na aGrandpa record iliyoanza kutoa mwanga wa mafanikio kutokana na sababu kadhaa zilizotajwa ikiwemo uvivu na anasa za dunia! 

Na tamko likatolewa dondoka nalo hapo..
“To Grandpa Records fans and friends we've decided to drop Mr nice from Grandpa Records artists' roster. Mr Nice has been terminated for violating the agreement we entered with him. For the sake of media and the general public we will summarize and say this, Mr Nice is the most difficult, uncooperative, lazy, unreliable artist we've ever worked with. The points and incidents of conflict are too many to mention here. To be brief Mr Nice had previously signed a deal with Sallam Sharaf and Lamar in Tanzania and did not disclose this to us at the point of being signed to grandpa records. All in all, aluta continua we tried our best but he failed us.

0 Maoni:

Toa Maoni