Kila siku tunalalamika mmomonyoko wa maadili kwa watoto wa sasa,maana watoto wa siku hizi hamna geni kwao! Lakini nilichogundua kumbe wazazi saa nyingine huwa chanzo..mko kwenye sherehe au shughuli yoyote mwanao anakata mauno ya hatari tena huku kababimbiwa na katoto kenzake ka kiume halafu unakuwa wa kwanza kumtunza na kumshangilia! unatengeneza nini hapo?
Mobile phone version
Ndio maana matukio ya watoto kubakwa ama kulawitiwa hayaishi..Mfano mzuri ni hao watoto uliowaona hapo kwenye video ndio utandawazi unawaharibu au ni nini? Wazazi tujitambue tuwe mfano mzuri kwa watoto badala ya kuwa chanzo cha uharibifu.
0 Maoni:
Toa Maoni