Banana Zorro anakuja na jirani
Tukizungumzia wasanii wakali nchini Tanzania huwezi kuacha kumtaja Banana Zorro,sasa habari nzuri kutoka kwake ni kwamba anatarajia kutoka na ngoma mpya aliyoipa jina la JIRANI ambayo inatarajia kutoka baada ya mfungo wa Ramadhan.Kaa tayari kwa kitu kipya!

0 Maoni:
Toa Maoni