Baada ya kuwa evicted na kuaga rasmi shindano la Big brother the chase,Qeen of swagger Pokello Nare kutoka nchini Zimbabwe hatimaye atua rasmi kwenye ardhi ya nchini kwao na kupata mapokezi ya nguvu katika uwanja wa ndege wa kimataifa Harare.
 |
| Mapokezi |
Mapokezi yakiongozwa na fans wake (team Pokello),familia na aliyekuwa mshiriki mwenzake kutoka Zimbamwe Hakeem Mandaza, Pokello alishindwa kuzuia machozi kwa sapoti walioonesha uwanjani hapo. Pia mtoto wake Gerald (10) alikuwa mmoja wa waliojitokeza ku show love. Baadae alielekea hotelini na gari nyeupe ya kifahari,cheki picha chini zikionyesha mapokezi hayo.
 |
| Pokello akiwa Harare international airport |
 |
| Umati uliojitokeza |
 |
| Team Pokello |
 |
| Pokello na mtoto wake Gerald |
 |
| Pokello fan |
 |
| Pokello akielekea hotelini |
0 Maoni:
Toa Maoni