Kupitia ukurasa wake wa twitter mwanamuziki huyo mdogo na mwenye mafanikio Davido aliandika.. Davido
"Can't wait for my baby to land! G55 AMG! Thank u Lord!"
Hivi karibuni mkali wa Kukere Iyanya nae alivuta Mercedes Benz E350..Cheki hapo chini
0 Maoni:
Toa Maoni