Feza aliongoza kwa kura 5 zilizomfanya akae kwenye hatari ya kutoka endapo hatapata kura za kutosha kumuokoa.Ili kumnusuru watanzania tumpigie kura za kutosha ili aweze kubaki mpaka fainali na kurejea na kitita.
Wengine ambao wako nominated ni shemeji yetu Oneal kutoka Botswana na Bimp kutoka nchini Ethiopia.

0 Maoni:
Toa Maoni