Lady Gaga tena

Mwanamuziki asiyeishiwa vituko kila kukicha Lady Gaga amepost picha inayoonyesha uso wake ukiwa umechorwa na rangi nyeupe, blue na orange.Picha hiyo aliitupia kwa ajili ya kuipromote track yake inayotoka kwenye album yake ya nne.

Weekend pia staa huyo alitupia picha inayomuonesha katika pozi tata kama yupo uchi hivi ila katumia mikono na miguu yake kujiziba kisha akaandika  "1ST SINGLE FROM ARTPOP COMES AUG.19 #24DAYS."cheki hapo chini.

0 Maoni:

Toa Maoni