Mwanamuziki Davido aonyesha cheni zake za dhahabu zenye thamani kubwa

Omo baba Olowo 
Ukipita maeneo fulani hapa Bongo hutoki salama!


Mkali wa Gobe Davido na ni mmoja kati ya wanamuziki wadogo tu nchini Nigeria wanaofanya vizuri na wenye  mafanikio. Akiwa anaendelea kufanya vizuri na ngoma yake ya Gobe alishare picha zake zinazomuonyesha akiwa na mzigo wa cheni za gharama za dhahabu..kila la kheri!

0 Maoni:

Toa Maoni