Ronaldo atazeekea Madrid

                                     


Cristiano Ronaldo atamaliza maisha yake ya soka akiwa na Real Madrid,hiyo ni kwa mujibu wa Rais wa klabu hiyo Florentino Perez.

Mreno huyo mwenye miaka 28,anahusishwa kutaka kutimkia Manchester United au Monaco ya Ufaransa,lakini Perez anasema mshambuliaji huyo hawezi kwenda kokote.

CV fupi ya Ronaldo

Sporting Lisbon: 2002-03
Manchester United: 2003-2009: Premier League winner 2007, 2008, 2009; FA Cup winner 2004;    League Cup winner 2006, 2009; Champions League winner 2008
Real Madrid: 2009-present: La Liga winner 2012; Copa del Rey winner 2011; Supercopa de Espana winner 2012

0 Maoni:

Toa Maoni