Aston Villa wamethibitisha kuwa Christian Benteke amewasilisha maombi ya kutaka kuondoka kwenye timu hiyo na wamekubali kumuachia kama itatokea offer ya kumchukua.
Benteke alitua Villa kwa dau la paundi milioni 7 akitokea Genk na amefunga mabao 19 kwenye ligi kuu ya Uingereza.
Benteke anahusishwa kutakiwa na Atletico Madrid, Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester City na Tottenham Hotspur.

0 Maoni:
Toa Maoni