Anaitwa Muthoni Ndonga jina halisi lakini kiusanii tumemzoea kama Muthoni The drummer qeen.Anajulikana zaidi kwa vipaji vyake vya kuimba na kupiga ngoma kwa wakati mmoja na uwezo wa kurap pia. Baadhi ya nyimbo zake ni kama Mikono kwenye hewa,welcome to the disco na tippie toe na nyinginezo.Pia style zake za nywele huwa ni za kipekee zaidi!
Cheki style yake mpya ya nywele bi dada huyu..
![]() |
| Muthoni |
![]() |
| Drama qeen kikazi zaidi! |
Mastaa wa bongo pia hawako nyuma kwenye style za nywele..Mwanzo alianza Shaa na style ambayo alirudi nayo alipokuwa anasoma nje ya simu yake watu wakashangaa ila ikawa ndio style mjini!
![]() |
| Shaa au Sarah Kaisi |
![]() |
| Shaa |
Mwigizaji dokii nae
Rihana hair do
![]() |
| Bad girl Riri |
Haya mambo ya mastaa hayo katika kutengeneza muonekano. Lakini mbali na mastaa hata watu wengine wamekuwa wakitumia mitindo hii ya nywele ila ni vizuri na muhimu pia kuangalia unafanya kazi gani maana huwezi kuwa ofisi kama za serikalini ama bank n.k ukatengeneza nywele hivi!








0 Maoni:
Toa Maoni