Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete mama Salma Kikwete ametaka bidhaa za nyumbani zipewe thamani kubwa na watu wajifunze kuona ubora wa bidhaa hizo.
Mama Salma ambaye pia ni mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na maendeleo WAMA amewapongeza wanawake kwa kufanya shughuli mbalimbali za kujiletea maendeleo.

0 Maoni:
Toa Maoni