![]() |
| Angelo na mpenzi wake Candice |
Angelo aumbuliwa na mpenzi wake baada ya kufanya mapenzi mjengoni BBA
Mpenzi wa Angelo ambaye ni mwanamitindo nchini Afrika kusini Candice Arends,amemuumbua Angelo kwenye mtandao wa kijamii wa Tweeter kwa kuanika Tweet zote walizotumiana kabla hajaingia BBA zilizoonesha mapenzi motomoto kabla ya kumsaliti kwa kufanya mapenzi na Beverly mshiriki kutoka Nigeria,shuka nayo.



0 Maoni:
Toa Maoni