Picha: Rais Uhuru Kenyatta alipohudhuria listening party ya Miss Karun

Jana aliyekuwa member wa Camp Mulla kutoka Kenya ametengeneza historia nzuri baada ya kupata ugeni wa rais kwenye listening party ya album yake.

Miss Karun hakuacha kutoa shukrani na kuonesha furaha yake "I had the chance to give a few very special guests a sample of my new album :) I appreciate the government's, and especially His Excellency the President, efforts and dedication to promoting the arts particularly among the youth. It was truly an experience and I can't wait for everyone else to hear my music! :) #‎KarunMusic‬"
Cheki picha ilivyokuwa;
Miss Karun akikamua
Rais Uhuru Kenyatta akifurahia burudani
Rais akitoa pongezi kwa Miss Karuni

0 Maoni:

Toa Maoni