Avril na Ommy Dimpoz ndani ya track moja

Mwanadada mrembo kutoka nchini Kenya Avril  amesema anatarajia kufanya wimbo mmoja na mwanamuziki anayefanya vizuri kutoka hapa Tanzania Ommy Dimpoz.

"I actually hooked up with Ommy he's pretty cool and we worked on a track, it's more of a love song, the lyrics are in Swahili and it will be out pretty soon" Amezungumza Avril. Haya tujiandae kwa ujio wa ngoma kali kutoka kwao.

0 Maoni:

Toa Maoni