Rihanna ful kujiachia!

Rihanna ameonekana akijiachia kwenye tamasha litalochukua siku nane linalofanyika kila mwaka huko kwao Barbados ambalo huambatana na burudani mbalimbali za muziki na kucheza na mambo ya kitamaduni zaidi.Na kivutio kikubwa kwa mashabiki kilikuwa ni jinsi msanii huyo alivyovaa kitamaduni na jinsi alivyojiachia.

Shuka na picha ujionee mwenyewe..











1 comment:

  1. mwenyezi mungu atunusuru na vizazi vyetu tusiwe kama hawa walio laaniwa

    ReplyDelete