Ikitanguliwa na ndoa ya kimila itakayofanyika tarehe 23 November itafuatiwa na ndoa rasmi ya kanisani february mwaka kesho huko Maldive Islands.
Tiwa savage na meneja wake Tee Billz kufunga ndoa
Mwanadada mrembo mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage anatarajia kufunga ndoa na mchumba wake ambaye pia ni meneja wake anayemsimamia katika muziki Tunji Balogun maarufu kama Tee Billz.
Ikitanguliwa na ndoa ya kimila itakayofanyika tarehe 23 November itafuatiwa na ndoa rasmi ya kanisani february mwaka kesho huko Maldive Islands.
Ikitanguliwa na ndoa ya kimila itakayofanyika tarehe 23 November itafuatiwa na ndoa rasmi ya kanisani february mwaka kesho huko Maldive Islands.

0 Maoni:
Toa Maoni