Akiwa tayari kupelekwa ukweni Elikem aifungukia sextape ya Pokello

Baada ya kuvuja kwa mkanda wa video ya ngono ambayo ina dakika mbili ya mshiriki aliyewakilisha shindano la Big Brother The chase kutoka Zimbabwe Pokello na aliyekuwa mpenzi wake anayeitwa Stunner ,kuliibuka maneno mengi sana huku watu wakisubiri kwa hamu nini kingetokea baada ya mwanadada huyo na mpenzi wake wa sasa kijana kutoka Ghana Elikem kutoka ndani ya jumba na kukutana na soo hilo.
Wakati kukiwa na maswali bado ya nini kitafata,Elikem hajanesha kukerwa na video hiyo ya ngono! "Ndio nimeiona hiyo sextape..sitaki kusema ni kitu kizuri ila Pokello alishaniambia kuhusu tape hiyo toka mwanzo kwa hiyo sio ishu sana kwangu"alisema Elikem.
Kama ulikuwa hujui basi  Mamu Africa blog inakupa habari motomoto kuwa Ijumaa hii September 06 Elikem anaenda kutambulishwa rasmi Zimbabwe..ukweni! Cheki alichopost Pokello asubuhi ya leo kupitia twitter account yake.

0 Maoni:

Toa Maoni