"Nilibaki peke yangu baada ya mke wangu kufarki.hamna mtu aliyeniliwaza kwa chochote na hatimaye Mungu kaniletea mke na nnafuraha"amesema Muslai.
Muna al-Jabouri, mke wake mpya nae akafunguka"Nilikubali kuolewa nae nilipoona picha yake nikaona ndio rizki yangu"
Cheki video fupi ya tukio.


0 Maoni:
Toa Maoni