PICHA: Party ya wana-Times fm ilivyonoga

Jumamosi Viongozi na wafanyakazi wa Times fm tulijumuika kwa pamoja pale Azura Mikocheni katika party iliyoandaliwa na uongozi wa Times fm ili kupongezana kwa kazi nzito tunazofanya kila siku..kazi na dawa!

Picha za matukio siku hiyo shuka nazo.
 sn
Mie,Dida, Rose na Ummy
Cliford Ndimbo
Rose Chitalla(mwenye nyekundu),Sandy B,Ndimbo ,Dida na Ummy

Aluta Warioba
Rose Chitalla na Allen Mushi
Jabir Saleh na Ezden The Rocker
Fredwaa
Bigg Boss Rehure Nyaulawa na Hermy B wakijiachia
Dj Kobo alisababisha burudani
Dj Ku na Moko Biashara anayeonekana kwa mbali
Mkoloni na Ibrahim Issa
Rehure na Hellen Mnzava
Samira Suleiman
Kujiachia kama kazi..Mie hapa
Mie,Msangi na Natasha

2 comments: